Kuhusu Jamii ya Kiswahili (sw)

Karibu kwa jamii ya sauti ya Kiswahili.

Tajaria yafuatayo:

  • Habari ya maendeleo ya lugha ya Kiswahili
  • Habari kuhusu warsha za kuchangia sauti na kuthibitisha sauti

Unaweza changia na kuthibitisha sauti hapa https://commonvoice.mozilla.org/sw

Naomba mubadilishe neno Kuhalalisha liwe Kuthibitisha. Tena Kuna mahali pameandikwa "yaliyo halalishwa’. Hilo ni kosa lingine ambalo linagawanya neno moja kuwa mawili.

1 Like

Asante sana, Waleghwa. Maneno haya yako hapa https://commonvoice.mozilla.org/sw ?