Toleo za Kila Wiki - 2022

Je, toleo za kila wiki ni nini?

Tunataka hii iwe nafasi yetu (kama timu ya Common Voice) kuwasiliana kwa uwazi na jamii.

Ili kusaidia jamii kugundua toleo za kila wiki kuhusu Common Voice, tumeunda mada hii.

Tunakaribisha maoni kutoka kwa jamii. Ikiwa ungependa kutoa maoni kuhusu toleo lolote tafadhali bofya mada linalohusika.

Januari

Wiki ya 1: Hifadhidata ya Common Voice ijayo na mengine
Wiki ya 2: Kuanzisha Vibadala vya Lugha kwenye Common Voice na Wanachama Wapya kwenye Timu
Wiki ya 3: Mapywa kwenye jukwaa la Common Voice na Fursa
Wiki ya 5: Dashibodi ya Common Voice imerudi na zaidi
Wiki ya 7: Siku ya Kimataifa ya Lugha za Mama, Kubainisha Ukusanyaji wa Sentensi